KIKUNDI CHA CEPA CHATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA MSIMBAZIWanachama wa kikundi cha  kuondoa umasikini cha Ukonga ' CEPA' wakiwa wamebeba vyakula walivyopeleka katika kituo cha watoto yatima cha Msimbazi mwishoni mwa wiki iliyopita kikindi hicho kilitoa vyakula mbalimbali vikiwemo unga,mchele,sukari, mafuta maharage na baadhi ya vitu mbalimbali
Mwenyekiti wa kikundi cha wanachama cha kuondoa umasikini Ukonga 'CEPA' ,Ipyana Kibona kushoto na Katibu mkuu wa kikundi hicho, James Musokwa wakisukuma bembea walipo tembelea watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Msimbazi Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita na kutoa vyakula mbalimbali kwa ajili ya watoto hawo yatima

Wanachama wa kikundi cha  kuondoa umasikini cha Ukonga ' CEPA' wakisukuma bembea watoto yatima wa kituo cha msimbazi walipotembelea na kutoa msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya watoto hawo yatima
Mwenyekiti wa kikundi cha wanachama cha kuondoa umasikini Ukonga 'CEPA' ,Ipyana Kibona akimkabidhi mtoto yatima anaelelewa katika kituo cha msimbazi,Baraka Mabibo msaana huo walioutoa na kupokelewa kwa niaba ya watoto wenzie
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List