Pambika na Samsung yafanya droo ya kwanza kuelekea sikukuu za Mwisho wa Mwaka Meneja Mauzo Rejareja wa Samsung, Sylvester Manyara akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) wakati wa droo ya kwanza ya kuwatangaza washindi wa moja katia ya droo sita za kila wiki za Promosheni ya Pambika na Samsung kulia ni Bw. Masenye Chacha, Meneja Uhasibu Samsung Tanzania.
 Meneja Mauzo Rejareja wa Samsung Tanzania, Sylvester Manyara akizungumza na mmoja ya mshindi wa zawadi za kila wiki za promosheni ya Pambika na Samsung mara baada ya kupatikana katika droo hiyo ya kwanza na promosheni hiyo. Kulia ni Mhasibu wa Samsung Tanzania Bw. Mosenye Chacha.
 Mkuu wa Masoko Rejareja Bw. Sylvester Manayara akibonyeza kompyuta ili kumpata mmoja wa washindi wa promosheni ya Pambika na Samsung katika droo ya kwanza iliyofanyika Makao Makuu ya Samsung Tanzania jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko Rejareja wa Samsung Tanzania Bw. Sylvester Manyara (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mwenendo mzima wa promosheni ya Pambika na Samsung ikiwa ni wiki moja tu mara baada ya kuzindua promosheni hiyo. Kushoto ni Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Bw. Abdallah Hemedy na kulia ni Meneja Uhasibu wa Samsung Tanzania Bw. Mosenye Chacha.
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List