KINANA NA UJUMBE WAKE WAWASILI WILAYANI MBARALI LEO,KUIMARISHA UHAI WA CHAMA MKOANI MBEYA. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Ujumbe wake wakisalimiana wananchi na wanachama wa CCM wakati wa mapokezi Igawa, alipoanza ziara ya kuimarisha uhai wa chama katika Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya asubuhi leo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na wafuasi wa CCM wakati wa mapokezi Igawa, alipoanza ziara ya kuimarisha uhai wa chama katika Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya asubuhi leo.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kushoto) akiwasalimia wananchi wakati wa mapokezi, eneo la Igawa, wilyani Mbarali, Mbeya.
 Kinana akikata utepe kuzindua jengo la ofisi za CCM Tawi la Ihanga, wilayani Mbarali leo.
Jengo jipya la CCM Tawi la Ihanga, wilayani Mbarali
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Ujumbe  wake wakizungumza na Wajumbe wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya asubuhi leo
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List