WAZIRI MKUU PINDA MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI CBE LEOWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Cheti cha ubora Baraka Magure ambaye aliibuka kuwa mwanafunzi aliyefanya vizuri katika wahitimu wa Shahada katika mahafali ya Chuo cha Biashara yaliyofanyika kwenye viwanja vya Klabu ya Sigara iliyopo Chang'ombe jijini Dar es salaam Novemba 30, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zwadi Revocatus Mavuno ambaye alifanya vizuri kwa wanafunzi wa ngazi ya Stashahada katika mahafali ya Chuo cha Biashara yaliyofanyika kwenye viwanja vya Klabu ya Sigara iliyopo Chang'ombe jijini Dar es salaam Novemba 30, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List