MWENYEKITI WA CHAMA ADC TAIFA SAID MIRAJI AWATAKA WAKAZI WA DAR ES SALAAM WAKA JIANDIKISHE DAFTARI LA KUDUMU LA KUPIGA KURA

Chama cha  ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE (ADC) Mwenyekiti wa chama hicho taifa Saidi Miraji amewataka wakazi wa jiji la Dar es Salaam kesho tarehe 22/7/2015 wajitokeze kwa wingi waende kwenye vituo wakajiandikishe katika daftari la kudumu la kupiga kura


  

Mh. Said Miraji amesema sasa chama hiko kimesha panga ratiba ya kujaza form kwa makada wa chama hiko wanao wania nafasi mbali mbali ili waweze kujaza fomu za nafasi wanazo wania pia wamejiandaa kwa kuwapokea wanachama wapya walio jiunga na chama hicho kuwatangaza rasmi
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List