CHUO CHA WAISLAM CHA MOROGORO KIME KUSUDIA KUFUFUA UTAMADUNI




Chuo kiku cha Morogoro kinakusudia kufufua na kuimarisha utamaduni wa jamii mbalimbali za watanzania, baada ya kubaini kuwa tamaduni za ndani zinaweza kupotea


 



Mgeni rasmi katika semina ya uzinduzi wa maradi huo wa utamaduni na mambo ya kale Dokta Salim Amed Salim,amesema lengo ni kuendeleza tamaduni za jamii husika kwa kushirikiana na wadau mbalimbali , baada ya utafiti waokubaini serikali haijaweka kipaumbele kudumisha utamaduni wa watanzania



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List