MTU AKUTWA AMEKUFA KANDO KANDO YA BARA BARA YA GARIMOSHI

Mtu aliyekutwa amekufa kando kando ya  barabara ya treni ya yombo vituka akiwa namajereha makubwa ya kupigwa na kitu chenye ncha kali  





Wananchi wa eneo hilo walitoa tarifa kituo cha Polisi cha chang'ombe wilaya ya temeke baada ya wanachikupiga simu wakifika kwenye eneo la tukio na kuchukua mwili wa marehemu huyo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List