Siku chache baada ya kituo cha polisi sitaki shari jijini dar es salaam kuvamiwa na majambazi na kusababisha mauwaji ya polisi wanne,raia na wizi wa
silaha baadhi ya wadau wame anza kutoa misaada mbalimbali
SSP Sadock Bwire mratibu wa kituo cha Polisi Stakishari Ukonga ameshukuru kwa msaada huo na kuwataka viongozi wa dini na jamii kushirikiana kuwafichua wahalifu
NABII NICOLAUS SUGUYE akiwa na waumini na baadhi ya viongozi wa kanisa WRM
0 comments:
Chapisha Maoni