WANANCHI WALALAMIKIA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTAR LA KUDUMU LA KUPIGA KURA (BVR)


 
  
Wananchi wakiwa wamelala baada ya zoezi hilo kuwa la kusuasua

 Zoezi la uandikishaji kwa njia ya kieletronic BVR limeanza jumatano hii jijini Dar es salaam, ambapo katika siku ya kwanza ya uandikishaji tayari kasoro mbalimbali z


imea anza kuonekana,ambazo ni pamoja nakuchelewa kuanza kwa shuguli hiyo na vituo vingine kuwa na mashine mbovu
Hali hii imewafanya baadhi ya wakazi waliofika mapema kuanza zoezi hilo kwenye baadhi ya vituo kuonekana kwamba zoezi la kuandikisha ni adhabu kwakuwa ili wapasa wasubiri kwa muda mrefu ili kuanza kujiandikisha


Hawa ni baadhi ya wakazi wakisubiri huduma hiyo kujiandikisha kwa kutumia mfumo huo mpya wa kieletroniki (BVR)


Hezron Msuya-Mtendaji wa kata ya yombo vituka amekiri kuwepo kwa baadhi ya mashine kushindwa kufanya kazi na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi , amewataka wananchi wajitokeze kwenye zoezi hilo la kujiandikisha kwenye daftar la kudumu la kupiga kura

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List