Mgogoro wa uongozi wakumba Taleban


Msemaji wa baraza kuu la kundi la Taliban nchini Afghanistan ameimbia BBC kuwa hawakuombwa ushauri wakati wa uteuzi wa hivi majuzi wa kiongozi mpya kufuatia kifo cha mwanzilishi wake Mullar Omar.
Msemaji wake Mullah Abdul Manan Niazi anasema kuwa baraza hilo litafanya mkutano ili kumchagua kiongozi mpya.
Siku ya Alhamisi taarifa za Taliban zilisema kuwa Mullah Akhtar Mansour alikuwa amechaguliwa kuliongoza kundi hilo.
Baadhi ya wanachama wa Taliban wamewalaumu wanachama wengine nchini Pakistan kwa kuwalazimishia Mullah Mansour kama kiongozi wa
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List