Mgombea wa ubunge jimbo la ubungo kupitia chama cha act

Zangina shanang zangina amesema alikuwa mwanachama wa chama cha mapinduzi kwa muda mrefu katika nafasi mbalimbali lakini amedai akitumikia katika hali ya uvuilivu kutokana na baadhi ya viongozi wa ccm kuongoza kwa ubinafsi      zangina asema baada ya kutangaza nia ya ubunge ccm ambapo jina lake lilikatwa katika kura Za maoni ndipo alipo alipohamua mahamuzi magumu na kuingia Chama cha act nakupata lidhaa ya kugombea ubunge jimbo LA ubungo amewataka wananchi ifikapo tar 25 oktobar 2015 wamchague  atawaletea  maendeleo ya uchumi afya elimu MAJI miundombinu barabara  pamoja na huduma zote za jamii


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List