Didas Masaburi akiendelea na Kampeni Jimbo la Ubungo akiomba kura kwa Wananchi

Mgombea wa Jimbo la Ubungo Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi Ccm  Didas Masaburi amewataka Wananchi wamchague ili aweze kutatua Shida ya Maji, Elimu Miundombinu ya Barabara, Afya kujenga Kituo cha Polisi kuimalisha hali ya Usalama kwa raia na Malizao pia.

Ataboresha ajira kwa vijana kwa kuwapatia pesa za mitaji kwa Kila kata millioni kumi na kusimamia michezo kwa kila kata kuboresha michezo kwa kutoa kipaumbele suala la Vifaa

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List