Dkt:Faustin Ndungulile atangazwa kuwa Mbunge Jimbo La kigamboni.

Mgombea  wa  Ubunge Jimbo la kigamboni dkt:Faustin Ndungulile ametangazwa kuwa Mbunge wa Jimbo la kigamboni na mkurugenzi  wa uchaguzi wa Jimbo hilo. Hii ni moja kati ya majimbo  ya Uchaguzi ambayo yamekuwa na upinzani mkubwa

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List