HARAKATI ZA UONGOZI MAGUFULI AWANADI

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Ccm Dk John Pombe Magufuli amewaomba wananchi wa Jimbo la Ubungo kumchagua kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akimnadi Didas Masaburi ambaye ni Mgombea wa Jimbo hilo pamoja na Madiwani wa Chama hicho                             Katika Kampeni hizo Dk. Magufuli ameahidi kuboresha tatizo la Miundombinu ya Maji taka yanayotiririka hovyo Katika maeneo ya Sinza pamoja na kuwajengea Miundombinu  ya Maji safi na salama ili waondokane na tatizo la Ugonjwa sugu ya Kipindupindu unaosumbua wakazi wengi wa Jimbo hilo
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List