MSAADA KWA MTOTO TWAHA

Kijana Twaha Sultani mwenye umri wa miaka 17 mkazi wa Kipawa manispaa ya Ilala Dar Es Salaam anaomba wasamaria wema kuweza kumsaidia fedha kwa ajili ya matibabu ya Kibofu cha Mkojo na Uvimbe.uliopo nyuma ya. Gongo kiunoni, ugonjwa ambao umekuwa ukimsumbua kwa Muda mrefu                                                                    kijana huyo ambaye ni Yatima anasumbuliwa na Ugonjwa huo na anahitaji kiasi cha shilingi millioni. 4.kwa ajili ya matibabu ya Ugonjwa huo Katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili                                     Mama mlezi wa mtoto huyo Bi Sarha Magamba amesema tatizo hilo limeanza Muda mrefu wakati akiwa na  umri wa miaka 9 hali hiyo imemfanya akatishe masomo akiwa darasa la tano mlezi huyo amesema anauwezo wa kumudu gharama za Matibabu kipato chake ni kidogo

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List