Chama cha Wananchi Cuf wamejipanga kwenda Mahakamani kuishitaki Tume ya Uchaguzi madai yao Majimbo sita wamenyimwa haki ya ushindi nafasi ya Ubunge

Wakiongea na Waandishi wa Habari makao makuu ya Cuf jijini Dar Es Salaam baadhi ya viongozi wa chama hicho Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini Mkufya Peter Mwenyekiti Vijana Taifa Chama cha Cuf pia Mbunge Jimbo La Mchinga Lindi Hamidu Bobali na Afisa Haki za Binadamu na Sheria Cuf Mohamed Mluya wamesema wajipanga kuwashitaki Tume ya Uchaguzi kwa kuwanyima haki ya matokeo ya Ushindi Katika Majimbo sita yaliyopo Tanzania bara Chama hicho kitashirikiana na Umoja Wa Ukawa kudai haki zao za msingi Mahakamani
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List