Wakazi wa Kurasini Shimo la Udongo wameiomba Serikali iangalie tena fidia zilizolipwa kwa madai kuwa hazilingani na nyumba zao hali iliyowafanywa washindwe kuondoka kwa wakati Hata hivyo kati ya nyumba 165 ni wamiliki wa nyumba 65 tu ndiyo walienda Mahakamani kupinga malipo ya fidia na kupewa amri ya kusitisha zoezi hilo, nakupewa Stop Order Diwani Aliyemaliza muda wake Kata ya Kurasini Wilifred Kimati amesema wakati mradi unaanza ndiye aliyekuwa kiongozi na kushiriki. mikutano yote na kudai kuwa baada ya kuona Kitabu cha fidia kutoka Manispaa walikikataa Mkurugenzi wa Manispaa Temeke Photidas Kagimbo amesema kila mwananchi wa eneo hilo la mradi tayari amelipwa na kukiiri pia kuwepo kwa baadhi ya wananchi ambao wamepeleka malalamiko ya kupinga fidia hizo Mahakamani
BONDIA RAMADHANI MIGWENE AMUWEKEA MIKWALA ALBANO CLEMENT BAADA YA KUKIMBIWA
NA HABIBU PENGO
-
BONDIA RAMADHANI MIGWEDE baada ya kukimbiwa na mpinzani wake Habibu Pengo
aliesaini nae kuzipiga mara ya kwanza sasa amebadilishiwa mpinzani na
atache...
Miaka 2 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni