SPORTS LADY ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA HATIMU SHULE YA MSINGI SASA KWENDA SEKONDARI

ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia bint yake Zainabu Mhamila 'Ikota' madaftal makubwa kwa ajili ya kwenda kidato cha kwanza wakati wa mahafari ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam

Zainabu Ikota Mhamila akipokea zawadi kutoka kwa dada yake Sada Swedy wakati wa mahafari ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto dar es salaam katikati ni shangazi yake Azania Athumani Mtopa na baba yake Rajabu Mhamila ;super d

Asha Kamnyanga 'mama Ikota' kushoto akimpatias zawadi bint yake Zainabu Mhamila ' Ikota' wakati wa mahafari ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam katikasti ni shangazi yake Azania Athumani Mtopa

Zainabu Mhamila 'Ikota' akimlisha keki Mama yake Asha Kamnyanga 'Mama Ikota' wakati wa Mahafali ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam anaeshudia katikati ni dada yake Sada SwedyKocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na bint yake Zainabu Mhamila 'Ikota' wakati wa mahafali ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na bint yake Zainabu Mhamila 'Ikota' wakati wa mahafali ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na bint yake Zainabu Mhamila 'Ikota' wakati wa mahafali ya 22 ya shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi msimbazi mseto wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mahafari ya 22 ya shele hiyo
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila wa pili kushoto akiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi msimbazi mseto Dar es salaam wakati wa mahafali ya 22 ya shele hiyo
ZAINABU MHAMILA 'IKOTA' NA RAJABU MHAMILA 'SUPER D' WAKIWA MBELE YA SHULE YA MSINGI MSIMBAZI MSETO DAR ES SALAAM
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List