WALIMU WATUMIE FULSA ZAO

Walimu nchini wametakiwa watumie fulsa walizonazo ili kutatua changamoto za elimu kwa kuwa taifa linawategemea kupata wataalam wa ndani.
Kauli hiyo imetolewa katika mahafali ya nane ya chuo kikuu cha DUCE jijini Dar es salaam.                                                             Serikali inajitahidi kusomesha Walimu kwa kutumia kodi za Wananchi lengo ni kuongeza fulsa za ajira ya Walimu Kutokana na uhaba wa Walimu hasa katika masomo ya Sayansi na Hesabu hivyo imeombwa walimu kupenda kazi yao na kwenda vituo vyao vya kazi.

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List