YELLOW CARD

Wamiliki wa Magari makubwa nchini yanayofanya safari zake katika nchi za jirani wamewashauri wenzao kuwa makini na kadi feki za kudhibiti magonjwa ya milipuko wakati wa kusafiri nje ya nchi YELLOW CARD na hivyo kusababisha kukosa msaada katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Kusini mwa Afrika SADC na zile za Kibiashara COMESA.                    Ukamataji huo unaendeshwa na Kampuni inayotoa huduma ya Bima ya Kampuni ya Comesa Yellow Card Tanzania yenye jumla nchi wanachama 13.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List