Baadhi ya wafanya biashara wa ndani
wananchi walioudhuria maonyeshoo.
Watanzania wameshauriwa kutumia fursa ya maonyesho ya Kimataifa wafike viwanja vya Sabasaba kupata mafunzo ,kubadilishana mawazo pia wanaweza kupata ajira kwa kutumia maonyesho hayo ya biashara kwa kuwa Nchi ya Marekani wameleta Kampuni kubwa zipatao 10 kushiriki maonyesho hayo
Hambapo jumla ya makampuni 498 kutoka nchi 31 za nje zinashiriki maonesho,Na hapa nchini mikoa 10 inashiriki zikiwepo Kampuni 1700 za ndani ya nchi.Watanzania waombwa kutumia fursa kubwa ya maonyesho hayo ya 38
Mkurugenzi Tan Trade bi Jacqueline Mneney Maleko amewataka watanzania wajitokeze kwa wingi kushiriki maonyesho hayo yatawapatia fursa kubwa ya kupata ajira hasa katika Teknorojia mpya ya Gesi kutakuwa na maonyesho ya kutangaza kuonyesha Gesi kwa ujumla, amesema maonyesho hayo yanategemea kufunguliwa rasmi tar 2 -7-2014 ambapo yatafunguliwa na Marikia Nomsa Matsebula kutoka Farume za Kiarabu King swate.
Katibu mkuu wizara ya biashara na Viwanda ameongea kuwa wageni wengi inatalajiwa kufika katika maonyesho hayo kutokana na kuwa na maandalizi makubwa na yenye mvuto.
Blogger Comment