SDM PRODUCTION MEDIA
Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo
Jumapili, 7 Septemba 2014
MBUNGE WA JIMBO LA NZEGA DR.KHAMIS KINGWANGALLAH ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangallah akitangaza nia yake ya kugombea urais waJamhuri ya Muungano ya Tanzania wakati alipokutana na waandishi wa habari kwenye ambapo amesema hajasukumwa na mtu yeyote ila ni yeye mwenyewe ameamua kwa moyo wake.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangallah
akimtambulisha mke wake Dr Bayoum Awadh wakati wa mkutano huo
.
Mchungaji Patrick Saso akifanya maombi kabla ya kuanza kwa mkutano huo.
Sheikh Abubakary Mwita akiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano huo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni