Jumatatu, 16 Februari 2015

Sauti za Busara Zanzibar

Diamond Platnumz

Maonyesho ya moja kwa moja kwa asilimia mia, na asilimia mia moja muziki wa kiafrika.
Nalizungumzia tamasha la sauti za Busara nchini Tanzania, kisiwani Zanzibar.
Ni sehemu pekee ya wanamuziki wa kiasili kucheza mbele ya jamii ya kimataifa wakiwa nyumbani,
hata hivyo hivi karibuni muziki wa kizazi kipya umeanza pia kupewa nafasi, kama anavyotuelezea mwandishi wetu kutoka Tanzania,Tulanana Bohela .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni