Wahitimu hao wametakiwa wakatumie Ujuzi walioupata Vizuri na wawe Maborozi bora wa taifa. Wataalam hao wameombwa kuwa na uwadilifu, Uzarendo pamoja na kutii maadili mema ya uwaminifu katika utendaji wa kazi zao.
Chuo cha NBAA KIMETOA WATAALAM WA MAHESABU NCHINI TANZANIA
-
11:51
0 comments:
Chapisha Maoni