Watanzania wamempokea mshindi wa nafasi ya Urais kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli ndiye Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania kipindi cha hamu ya nne Rais akitokea Chama cha Mapinduzi Ccm wananchi bado wanaimani na Chama hicho kuongoza taifa, hata hivyo Vyama vilivyoshiriki nane Katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 wa Urais, Ubunge Madiwani ambapo, zoezi la kupiga kura lilianza Oktobar 25 mwaka huu zoezi la kupiga kura lilikamilika siku hiyo hiyo hatimaye leo amepatikana mshindi wa Urais
DKT JOHN POMBE MAGUFULI AMESHINDA NAFASI YA URAIS TANZANIA
-
22:09
0 comments:
Chapisha Maoni