Mgombea wa Ubunge Jimbo la kigamboni dkt:Faustin Ndungulile ametangazwa kuwa Mbunge wa Jimbo la kigamboni na mkurugenzi wa uchaguzi wa Jimbo hilo. Hii ni moja kati ya majimbo ya Uchaguzi ambayo yamekuwa na upinzani mkubwa
Dkt:Faustin Ndungulile atangazwa kuwa Mbunge Jimbo La kigamboni.
-
00:18
0 comments:
Chapisha Maoni