Kijana Twaha Sultani mwenye umri wa miaka 17 mkazi wa Kipawa manispaa ya Ilala Dar Es Salaam anaomba wasamaria wema kuweza kumsaidia fedha kwa ajili ya matibabu ya Kibofu cha Mkojo na Uvimbe.uliopo nyuma ya. Gongo kiunoni, ugonjwa ambao umekuwa ukimsumbua kwa Muda mrefu kijana huyo ambaye ni Yatima anasumbuliwa na Ugonjwa huo na anahitaji kiasi cha shilingi millioni. 4.kwa ajili ya matibabu ya Ugonjwa huo Katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mama mlezi wa mtoto huyo Bi Sarha Magamba amesema tatizo hilo limeanza Muda mrefu wakati akiwa na umri wa miaka 9 hali hiyo imemfanya akatishe masomo akiwa darasa la tano mlezi huyo amesema anauwezo wa kumudu gharama za Matibabu kipato chake ni kidogo
VERONICA MREMA WA TBN AANDIKA HISTORIA MKUTANO MKUU WA DUNIA WA
WAANDISHI WA SAYANSI
-
Bloga Veronica Mrema mmiliki wa M24Blog akiwa nchini Afrika Kusini .
Pretoria , Affrika Kusini
Kilele cha utambuzi wa Uandishi wa Habari za Kidijital...
Saa 18 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni