WANANCHI NCHINI TANZANIA WAPO Katika zoezi la kupiga kura likiendelea katika hali ya utulivu na Amani. Huku suala la watu wenyemahitaji maalum wakipewa kipaumbele kwa kufata sheria zilizowekwa na Tume ya Uchaguzi nchini
UPIGAJI KURA ZOEZI LIKIENDELEA KWA HALI YA UTULIVU NA AMAN NCHINI TANZANIA
-
06:33
0 comments:
Chapisha Maoni