Wakiongea na Waandishi wa Habari makao makuu ya Cuf jijini Dar Es Salaam baadhi ya viongozi wa chama hicho Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini Mkufya Peter Mwenyekiti Vijana Taifa Chama cha Cuf pia Mbunge Jimbo La Mchinga Lindi Hamidu Bobali na Afisa Haki za Binadamu na Sheria Cuf Mohamed Mluya wamesema wajipanga kuwashitaki Tume ya Uchaguzi kwa kuwanyima haki ya matokeo ya Ushindi Katika Majimbo sita yaliyopo Tanzania bara Chama hicho kitashirikiana na Umoja Wa Ukawa kudai haki zao za msingi Mahakamani
KARNE YA AI: 'SADC BADO KUNA PENGO LA MAWASILIANO YA SAYANSI'
-
Na Veronica Mrema - Pretoria
Ulimwengu wa sayansi na teknolojia unasonga kwa kasi ya ajabu. Mataifa
makubwa duniani yanawekeza kwenye ubunifu, utafiti ...
Saa 4 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni