Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa Tanzania na Algeria siku ya jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Mchezo huo wa Tanzania na Algeria ni wa kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia zinazotarajiwa kufanyika mwaka 2018 nchini Urusi, Watanzania na wadau mbalimbali wa michezo wametakiwa wajitokeze siku ya Jumamosi kuangalia mashindano hayo
MAGUFULI UWANJANI
-
04:14
0 comments:
Chapisha Maoni