Chama cha Mapinduzi Ccm Mkoa wa Dar Es Salaam kimewataka wananchi wake kuwapa ushirikiano Madiwani wa Chama hicho waliochaguliwa ili wawatumikie na kuwaletea maendeleo kama walivyowaahidi wakati wa Kampeni,Ccm imesema Madiwani wa Chama hicho wamejipanga kutumikia wananchi wote bila Kujali tofauti zao, lengo ni kubadilisha maisha ya wanachi wanyonge kwa kupata huduma muhimu ikiwepo Elimu, Afya, Maji, Miundombinu ya Barabara na kuboresha tatizo la ajira kwa Vijana Juma Simba Gaddafi ni Katibu Uenezi na Siasa Mkoa wa Dar es salaam Anasema Madiwani wa Ccm waliochaguliwa watafuata Ilani ya chama hicho Kuwa dira ya kuwatumikia wananchi wote
KARNE YA AI: 'SADC BADO KUNA PENGO LA MAWASILIANO YA SAYANSI'
-
Na Veronica Mrema - Pretoria
Ulimwengu wa sayansi na teknolojia unasonga kwa kasi ya ajabu. Mataifa
makubwa duniani yanawekeza kwenye ubunifu, utafiti ...
Saa 8 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni