Alhamisi, 29 Juni 2017

Ghetto Kids kutoka Uganda walivyoperform na French Montana kwenye BETAwards2017

Baada ya staa wa Bongofleva Rayvanny kushinda tuzo za ya BET kwenye kipengele cha Best New Internationa Act, Good News nyingine ni hii ya Afrika Mashariki kuendelea kuwa kwenye headlines, ni kundi la dancers kutoka Uganda, Ghetto Kids walioshirikishwa kwenye video ya rapa French Montana kupewa nafasi ya kuperform steji moja na rapa huyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni