SDM PRODUCTION MEDIA

Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo

Jumanne, 6 Agosti 2013

RAMADHANI SHAURI ALIVYO ONESHANA UBABE NA RICO MUELLER NCHINI GERMANY







Bondia Ramadhani Shauri kushoto akipambana na  Rico Mueller  wa Germany ambaye ni bondia namba moja katika nchi yake wakati wa mpambano wa kugombania ubingwa wa International Boxing Organization Inter-Continental welterweight title




Bondia Ramadhani Shauri kushoto akipambana na  Rico Mueller  wa Germany ambaye ni bondia namba moja katika nchi yake wakati wa mpambano wa kugombania ubingwa wa International Boxing Organization Inter-Continental welterweight title baada ya mpambano huo shauri amepata mkataba wa kucheza mchezo mwingine katika nchi hiyo tena tunamtakia kila la heri bondia mtanzania Ramadhani Shauri
Unknown at 12:33
Shiriki

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti
Inaendeshwa na Blogger.

About Me

Unknown
Tazama wasifu wangu kamili