Jumamosi, 21 Juni 2014

HATIMAYE LULU AFUNGA NDOA NA JOTI.

Msanii Maarufu Elizabeth Michael anayefahamika kwa jina la Usanii LULU na Msanii Nguli wa vichekesho Lucas Mhuvile maarufu kama JOTI wameonekana katika Moja ya filamu yao mpya wakifunga ndoa.Picha hiyo za ndoa zimeleta gumzo mitaani kutokana na watu kuzani ni kweli Joti na Lulu wameoana.Ila hiyo ni moja ya filamu kali inayokuja coming soon.
picha ya joti na lulu wakifunga ndoa.
picha ya joti na lulu wakifunga ndoa.