Warembo wanaogombea Miss chang'ombe wakiwa katika mazoezi
Msimamizi wa warembo wanaogombea Miss Chang'ombe Bi.Teddy Chebby
Warembo wanaogombea Miss chang'ombe wakiwa katika mazoezi
Warembo wanaogombea Miss chang'ombe wakiwa katika mazoezi
Warembo wanaogombania Taji la miss Chang'ombe wapo kwenye mazoezi ya hatua za mwisho kuelekea mashindano yenyewe na kila Mmoja akionyesha mvuto na hali ya ushindi.Mashindano hayo yatafanyika tarehe 27/06/2014 katika viwanja vya TTC club Chang'ombe,Dar es salaam,Temeke.Washiriki wapo 15 na washindi ni 5 watakao shiriki miss Tanzania.Msimamizi wa warembo hao ameomba wazazi kuwaruhu watoto wao kushiriki mashindano hayo na kuachana na Dhana potofu kuwa mashindano hayo ni sehemu ya kufanya umalaya.Akiongea na Mwandishi wetu Bi Teddy Chebby amesema vijana hao wanapata nafasi kujifunza Nidhamu,utiifu na kujituma.Shindano hilo pia litasindikizwa na wasanii Wakali wa mziki.
Blogger Comment