Jumanne, 17 Juni 2014

STONE GOLD NA UJIO WA KUFA MTU




Msanii STONE GOLD akipagawisha watu ndani ya Club billcanuss

Msanii STONE GOLD akiwa katika pozii


Msanii kutoka chuo cha UDSM-DUCE,anayejulikana kwa jina la STONE GOLD a.k.a JIWE amesema ataachia rasmi ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la IYOLELA tarehe 28/06/2014.Akiongea na Mwandishi wetu amesema Ngoma hiyo amefanya studio bora kabisa ya BURN records ya Shedy Clever na amemshirikisha Ally Nipishe.Hivyo anawaomba mashabiki wake wakae mkao wa kula