Ijumaa, 27 Februari 2015

DIAMOND AENDELEA KUFANYA MAAJABU AFRICA

Hii ni baada ya nyimbo zake kuendelea kutikisa katika chati za afrika muziki katika vituo mbalimbali ya Tv na Redio.Ni shukrani za pekee kwake kwa kuwa ameendelea kuiwakilisha vizuri Tanzania katika muziki anga za kimataifa,

Nitampata wapi ni nyimbo ambayo inaendelea kutikisa top ten za afrika na sasa imeshika nafsi ya kwanza katika top10 ya AFRICA TRACE TV.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni