Jumatano, 11 Machi 2015

MTOTO MWINGINE WA KUSIKITISHA AZALIWA SHINYANGA

Maskini Huyu mtoto amezaliwa usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya serikali ya Shinyanga akiwa na Viungo sehemu zisizo sahihi na baada ya muda alifariki Dunia

Najiuliza kwa Sauti Je nini Sababu za Watoto Kama Hawa ? Kwani matukio ya wazazi kujifungua watoto wa ajabu yamekuwa mengi nyakati hizi..

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni