Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha yombo Kilakala Carren Mgonja akiwazungumza na maofisa wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF walipowatembelea makao yao makuu |
Baadhi ya wanachama wa kikundi cha Timberland Jogging wakisoma vipeperushi vya Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF |
Mlezi wa kikundi cha Timberland Jogging cha yombo Kilakala Carren Mgonja kushoto akipokea msaada wa fulana kutoka kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii NHIF .Eugen Mikongoti wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa kikundi hicho Samir Choray na maofisa wa NHIF
Makao makuu ya kikundi cha Timberland Jogging wanachama wakiwa na maofisa wa NHIF baada ya kugawa msaada wa fulana pamoja na ahadi ya kufanya kazi p-amoja na kikundi hicho kilichopo Yombo Kilakala |
0 comments:
Chapisha Maoni