Muuguzi mstaafu wa hospitali ya Mwananyala ambaye alitumikia kwa zaidi ya miaka 30.Bi Victoria Makala Mkenso (maarufu kama Bibi Kanitangaze au Kanisambaze) amefanya sherehe kubwa Nyumbani kwake baada ya kulipwa mafao yake ya kiinua mgongo na kusherekea na majirani,rafiki na ndugu.Pia ameweza kumshukuru mwenyezi MUNGU kwa kumfikisha hapa na kustaafu salama bila dosali yoyote kazini.Pia amewataka wauguzi wafanye kazi kwa wito na kutojali maslai yao binafsi,kwa kuwa kazi ya kuwahudumia wagonjwa inahitaji uwe na moyo wa uzalendo na kujitolea.Pia amekemea swala la rushwa kwa kuwaomba wauguzi na wahudumu kutoomba wala kupokea rushwa sababu ni adui wa haki na maendeleo.Mwisho alielezea mafanikio aliyoyapata kutokana na kazi yake kama kuwa na nyumba,Kisima cha maji na gari ya kutembelea.
WATENDAJI UCHAGUZI WATAKIWA KUTOA TAARIFA KWA VYAMA VYA SIASA
-
Na. Mwandishi Wetu - Shinyanga
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka watendaji wa uchaguzi mkuu wa
mwaka 2025 kutoa taarifa mapema kwa vyama vya sias...
Saa 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni