Jumapili, 28 Mei 2017

KAMANDA WA KANDA MAALUM YA MKOA WA DAR ES SALAAM SIMON SIRRO ATEULIWA KUWA MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA (IGP)

Uteuzi huo umefanyika Leo na waraka toka Kwa afisa wa Habari wa  ikulu ndugu:Garson Msigwa na hivyo ataapishwa rasmi kesho Jumatatu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni