Jumanne, 30 Mei 2017

Tanzia: Mzee Ngosha afariki

Mzee Francis Kanyasu (86) aliyechora Nembo ya Taifa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa kwenye matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

SDM production media inatoa pole kwa Familia ya Mzee Kanyasu pamoja na watanzania wote kwa ujumla.
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni