Ijumaa, 7 Julai 2017

TANZIA:KUTOKA MICHUZI TV MSIBA WA MWANAMUZIKI NDUGU SHABANI DEDE

Mheshimiwa Mbunge wa chalinze Ridhiwani Kikwete  leo amejumuika na wananchi wengine kufanikisha maziko ya mwanamziki nguli ndugu Shabani Dede ambaye kipindi cha uhai wake ameimba bendi nyingi ikiwemo Msondo Ngoma.Hakika sanaa ya mziki wa dansi imepata pigo,Bwana ametoa na Bwana ametwaa.
TUTAKUKUMBUKA SHABANI DEDE


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni