MAMA SALMA KIKWETE APOKEA UA KWA UKARIBISHO MKOANI NJOMBEMke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa Binti Witness Mwalongo anayesoma Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari ya Mpechi iliyopo Mjini Njombe mara tu baada ya kuwasili Rest House mjini hapo tarehe 17.10.2013. Mama Salma yupo Mkoani Njombe akifuatana na Rais Kikwete aliye katika ziara ya kuutembelea mkoa wa Njombe kuanzia tarehe 17.10 hadi 23.10.2013. PICHA NA JOHN LUKUWI
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni

Watch the Video Here

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List