![]() |
Balozi Seif
akimpa pole Wanu Rajab aliyelazwa Hospital Kuu ya Mnazi mmoja yeye na
Mtoto wake baada ya kibanda wanachoishi katika shughuli za Kilimo kuwaka moto
katika Kijiji cha Kirombero.
|
SUPER D AMNOWA IDD MKWERA KUMKABILI SHAURI MEI 5 UWANJA WA NDANI WA TAIFA
-
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
kushoto akimnowa bondia Idd Mkwera kulia kwa ajili ya mpambano wake
utakaofanyika...
Saa 14 zilizopita