Askari
wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbeke ya Mgeni Rasmi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa
Mwendo wa Pole pole katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amaan
Studiumleo.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria sherehe hizo.
Askari
wa Kikosi cha Mafunzo SMZ wakipita mbele ya Mgeni Rasmi Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa Mwendo
wa Pole pole katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar
katika Uwanja wa Amaan leo.
Askari
wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kikosi cha Bendera wakitoa salamu ya
Gwaride la mwendo wa haraka kwa Mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika sherehe za
kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amaanleo.
Askari
wa Jeshi la Polisi Tanzania Kikosi cha FFU wakitoa salamu ya
Gwaride la mwendo wa haraka kwa Mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika sherehe za
kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika Uwanja wa Amaan leo.
Askari
wa Jeshi la wanamaji Zanzibar Kikosi cha KMKM wakitoa salamu ya
Gwaride la mwendo wa haraka kwa Mgeni Rasmi Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika sherehe za
kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika Uwanja wa
Amaanleo.
Wasanii
wa kutoka Gairo Mkoa wa Morogoro wakitoa burudani kwa ngoma ya Mtunya wakati wa
sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kabla ya
mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein kutoa hutuba yake katika sherehe hizo zilizofanyika jana Uwanja wa Amaan Mjini Unguja
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni