Rais Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kufanya uteuzi wa wakuu wa wilaya wapya macho ya watanzania wengi na mitandao ya jamii yametega jicho la kwa mkuu wa wilaya ya Mufindi Ndugu:MBONI MHITA na kuongelewa katika midahalo na mijadala mingi ya vijiweni na mitandao ya Jamii.
Katika hili kuna kitu cha kujifunza kama Mtanzania hasa hususan matumizi ya mitandao ya jamii na kupitia sifa za uteuzi wake na pichaa zinazosemekana ni zake ndani ya mitandao ya jamii.
MR.UK KUNGA KIWANDA CHA MAJOKOFU PWANI
-
Meneja Mtendaji wa Kampuni ya Mr.UK Deo Joachim Kusare akionesha jiko la
gesi moja ya bidhaa babdani hapo huku anayeahuhudia ni Meneja Masoko wa
Hotel ...
Siku 1 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni