Msanii wa bongo flavor Diamond Platinumz ameendelea kuthibitisha kuwa yeye ndio baba wa mziki wa kizazi kipya kwa sasa baada wa kijana wake kutoka Lebo ya WCB Rayvanny boy(Raymond) kuchukua tuzo kubwa ya kutoka marekani BET ambayo haijawahi kuchukuliwa na Mtanzania yeyote licha Diamond tu kuwa nominated(kuchaguliwa) kuwania tuzo hizo.
Diamond akiongea na Waandishi wa habari amefurahi na kuonyesha kuwa WCB ni kama mwili sauti ikishindwa kuongea basi mkono utashika ndivyo ilivyotokea kwa Rayvanny.
Asante WCB kwa kutufanya watanzania kutambulika kimataifa. Angalia mapokezi ya Rayvanny airport yakiongozwa na Rais wa wasafi Diamond Platinumz a. K. a Simba.
MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI YAFANA SWEDEN
-
Mhe. Balozi Mobhare Matinyi, akihutubia kwenye maadhimisho ya Siku ya Lugha
ya Kiswahili Duniani, jijini Stockholm, tarehe 5 Julai, 2025.
Mgeni rasmi, Waz...
Saa 3 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni