Baada ya staa wa Bongofleva Rayvanny kushinda tuzo za ya BET kwenye kipengele cha Best New Internationa Act, Good News nyingine ni hii ya Afrika Mashariki kuendelea kuwa kwenye headlines, ni kundi la dancers kutoka Uganda, Ghetto Kids walioshirikishwa kwenye video ya rapa French Montana kupewa nafasi ya kuperform steji moja na rapa huyo.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
-
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
Saa 6 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni