Jumamosi, 28 Juni 2014

ARDHI YA TANZANIA NI FURSA KWA WATANZANIA (MAONYESHO YA SABASABA YA 38)





Ramani inayoonyesha ardhi ambayo wamewekeza


Meneja wa mauzo GEORGE COLYVAS na HAYAT ABDULAZIZ

Meneja wa mauzo GEORGE COLYVAS na HAYAT ABDULAZIZ




Kampuni ya PROPERTY INTERNATIONAL LTD inajishughulisha na upimaji na uzaji wa viwanda imeamua kutoa Elimu kupitia maonyesho ya biashara ya Sabasaba juu ya matumizi na uwekezaji katika ardhi kwa manufaa ya watanzania.Wakizungumza na mwandishi wamesema ARDHI ndo silaha ya kumboa mtanzania hivyo ni vizuri kama watanzania wenge wekeza katika ardhi.